Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka Afisa Mtendaji Mkuu
wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire, Tim Cahilll
(kushoto) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar.
(Picha na OWM).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa
Mafunzo ya Mpira wa Miguu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy)
kiitwacho Aspire , Daniel Bonanno (kulia) wakati alipotembelea kituo
hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. (Picha na OWM).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea jezi iliyoandikwa jina lake kutoka kwa
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho
Aspire, Tim Cahilll wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha
nchini Qatar, Machi 22, 2022. Jezi hiyo ilitolewa kama kumbukumbu ya
ziara yake kituoni hapo.(Picha na OWM)
No comments:
Post a Comment