A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, September 14, 2020

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS. MUSEVENI WA UGANDA WATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUANZA RASMI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA

a9-2048x1107
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitia sainiWaraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba laMafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
a5-1-scaled
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. YoweriKaguta Museveni  alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagizakuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
a11-scaled
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli akifurahia jambo wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri yaUganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati wa sherehe fupi ya kutiasaini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
a3-1-scaledRais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akiongea baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
a2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea mbele ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020.
a14-scaled
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na maafisa wa Uganda baada ya Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kuondoka kurejea nyumbani baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
a13-scaled
Ngoma ya Rubirigi ya Kabila la Wasukuma wakitumbuiza wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais waJamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitia saini Waraka waPamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafutakutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupiiliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita leo Jumapili Septemba 13, 2020
WhatsApp%2BImage%2B2020-09-13%2Bat%2B5.31.15%2BPM

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages