Mganga
Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa
tatu kushoto) akifungua zoezi la uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno kwa
watoto waliopo katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu
Buhangija, Mkoani Shinyanga katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya
ya Kinywa na Meno Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20,
2018,Tarime Mkoani Mara . Kuanzia kushoto ni Kiongozi wa msafara huo
ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa
Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga, Mwalimu msaidizi wa kituo hicho, Mohamed
Makana na kushoto kwa mgeni rasmi ni Daktari wa Meno Hospitali ya Rufaa
ya Mkoa wa Shinyanga, Dr. Nuru Mpuya. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mlezi
Jackson Leonard (kushoto) na Mlezi Flora Kankutebe wakifatilia jambo
wakati watoto hao walipokuwa wakifanyiwa uchunguzi huku watoto wendine
wakiwa katika msitari wakisubiri kufanyiwa uchunguzi
Dakt.
Bingwa wa Magonjwa ya Kinywa na Meno kwa Watoto Hospitali ya Taifa
Muhimbili, Dr, Conrad Mselle akimpati uji mmoja wa watoto hao huku
wengine wa kiwa katika msitari wakisubiri na wao kupatiwa uji
Mwalimu msaidizi wa kituo hicho, Mohamed Makana akiwakaribisha wageni na kutoa utangulizi wa kituo hicho
Mganga
Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa
pili kulia) mstari wa mbele katika picha ya pamoja na madaktri hao
Dakt.
Bingwa wa Magonjwa ya Kinywa na Meno kwa Watoto Hospitali ya Taifa
Muhimbili, Dr, Conrad Mselle akionyesha kwa mfano namna nzuri ya upigaji
mswaki kwa Zephania Bahebe mmoja kati ya watoto wanaoishi katika kituo
cha watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija, Mkoani Shinyanga katika
kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno
Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20, 2018,Tarime Mkoani Mara
Kiongozi
wa msafara ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali
ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa kinywa
mmoj wa watoto hao waishio kituoni hapo, Peter Tito , kulia anaye andika
ni Daktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Habiba Madjapa
Kiongozi
wa msafara ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali
ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga akizungumza n waandishi wa
habari
Daktari wa Meno Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr. Nuru Mpuya akizungumza na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment