Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali
Mwinyi akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Watu wa China nchini
Tanzania, Mhe.Chen Mingjian alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa
mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa
China anayefanyika kazi zake Zanzibar, Mhe. Zhang Zhzsheng. (Picha na
Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein
Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Watu wa
China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian alipofika Ikulu jijini
Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein
Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Watu wa
China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian alipofika Ikulu jijini
Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali
Mwinyi akikabidhiwa picha na Balozi mpya wa Jamhuri ya Watu wa China
nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar, alipofika
kujitambulisha
No comments:
Post a Comment