
Muonekano
wa miundombinu ya Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115),
ambalo ujenzi wake unaendelea Rufiji mkoani Pwani. (Picha zote na WUU).

Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo
anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere (JNHPP-MW2115),
akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa
na ujumbe wake (hawapo pichani), alipokagua maendeleo ya mradi huo.

Waziri
wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza kwa makini
Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo (kulia)
anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115),
alipokagua maendeleo ya mradi huo.

Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo
anayesimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115),
akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa
na ujumbe wake walipokagua maendeleo ya mradi huo unaoendelea Rufiji
mkoani Pwani.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo
kwa Mhandisi Mkazi wa Kampuni ya TECU, Eng. Lutengano Mwandambo
alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julias Nyerere
(JNHPP-MW2115).

Baadhi ya wahandisi wanaosimamia ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius
Nyerere (JNHPP-MW2115), wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Ujenzi na
Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipokagua maendeleo ya
mradi huo.
No comments:
Post a Comment