A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, March 23, 2022

RAIS SAMIA ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA EQUITY

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan alitembelea banda la Benki ya Equity lililopo Mlimani City apo Jana kwenye maadhinisho ya Wiki ya Maji ambako alipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bi. Isabela Maganga, namna Benki ya Equity ilivyo mstari wa mbele kuhakikisha inachangia juhudi za serikali katika upatikanaji wa maji safi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages