A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, March 12, 2022

Uboreshaji wa miradi ya maji Mwanza waendelea kwa kasi, wamshukuru Rais Samia

 

UTEKELEZAJI wa miradi kupitia fedha za mpango wa maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 umeendelea kwa kasi mkoani Mwanza.
Tunamshukuru Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ubunifu wake wa kutafuta vyanzo mbalimbali vya fedha kuhakikisha miradi inatekelezeka.

Kupitia fedha hizi tumeweza kuyafikia maeneo ya Mlima wa Rada, Nyamhongolo, Ihila- Buhongwa, Luchelele-Mnangani na Kambarage ambayo yalikuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji.

Wana Mwanza tunasema asante sana Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

#kaziinaendelea

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages