Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania katika nchi ya Jamhuri ya
Malawi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo
Machi 15, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Waziri Kindamba Waziri kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malawi Humphrey
Polepole mara baada ya hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino
mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Waziri Kindamba mara
baada ya hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk, Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga katika picha ya pamoja na Mkuu wa
Mkoa wa Njombe Waziri Kindamba Waziri na Balozi wa Tanzania nchini
Malawi Humphrey Polepole mara baada ya tukio la Uapisho Ikulu Chamwino
mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika
Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Machi 15, 2022. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment