A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, March 12, 2022

RAIS HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MAJI BARANI AFRIKA UKUMBI WA HOTELI YA MELIA KIWENGWA.

 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya ( GWPSA ) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kufungua wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, uliofanyika leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)

WASHIRI wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta Maji Barani Afrika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022..(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages