Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali
Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na viongozi wa
Serikali na Asasi za Kiraia Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja jijini Zanzibar kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali
Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya
Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la
Jumuiya ya Kuendeleza Nyuki na Hifadhi ya Mazingira Pemba (JUKUNUM)
akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Kikundi hicho, Bw.Suleiman Masoud
Nyuki.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali
Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya
Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la
ANGOZA na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Miradi, Bw.Mohammed Farid
Hussein.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali
Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya
Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la
“Center for Youth Dialogue” na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa
Asasi hiyo, Bw. Hashim Pondeza.
No comments:
Post a Comment