A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, July 16, 2021

VODACOM YAZINDUA DUKA WILAYANI BUNDA

 

Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Joshua Nassari (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka la Vodacom Wilayani Bunda, Mkoani Mara mwishoni mwa wiki. Vodacom Tanzania Plc imezindua duka hilo Wilayani Bunda ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake.
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mkoani Mara, Joshua Nassari akipata maelezo kutoka kwa mhudumu wa duka la Vodacom baada ya kuzindua duka la Vodacom Wilayani humo mwishoni mwa wiki. Vodacom Tanzania Plc ilizindua duka hilo Wilayani Bunda ikiwa ni juhudi za kuhakikisha wanaleta huduma bora karibu na wateja wake.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages