A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 28, 2021

MKUU WA MKOA MWANZA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA BENKI YA EQUITY TANZANIA

 

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.John Mongella leo amefanya mazungumzo na uongozi wa Benki ya Equity Tanzania kama njia ya kuboresha mahusiano ya kibiashara mkoani humo. Ujumbe wa Benki ya Equity uliongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji Esther Kitoka (wa pili kushoto).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages