A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, April 16, 2021

ELIMU NI URITHI WA KIPEKEE NA WA THAMANI KWA WATOTO WETU,SHIRIKI KUCHANGIA UJENZI WA MABWENI YA WANAFUNZI WA KIKE CBE MBEYA

 

Ungana na Mhe. Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson (MB) na Mlezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara  Kampasi ya MBEYA kwa Kuchangia fedha kwaajili ya Ujenzi hosteli za wanafunzi wa kike  kampasi ya Mbeya.  Hosteli hizi zimekadiriwa kuwa na thamani ya shilingi za kitanzania bilioni 1.15. Unaweza kushiriki kwa kupitia namba za Changizo hapo juu.
#ChangiaZaidiYaHarusi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages