A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, July 28, 2020

Rais JPM Aubadili Uwanja wa Taifa Kuwa Uwanja wa Mkapa

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema kutokana na maombi ya Watanzania walio wengi, ametangaza rasmi kuubadili jina Uwanja wa Taifa na kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwa ni sehemu ya kumuenzi Rais huyo mstaafu wa awamu ya Tatu aliyeujenga wakati akiwa madarakani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages