A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, June 24, 2020

LOWASSA NA MKEWAKE WAMDHAMINI MAGUFULI KUTETEA NAFASI YAKE YA KITI CHA URAIS

 Waziri mkuu na Mbunge wa zamani wa Monduli Mh Edward Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina Lowassa leo huko Monduli wamekuwa miongoni kwa wana CCM waliyomdhamini Rais John Pombe Magufuli kutetea kiti chake cha urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu baadaye Oktoba mwaka huu.Pichani Mama Regina akitoka saini fomu za udhamini mara baada ya Mh Lowassa kufanya hivyo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages