Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Waziri wa Ulinzi Nchini Dkt Hussein Mwinyi (katikati) akiongozana na Makada wengine wa Chama hicho kuelekea kwenye Ofisi za CCM zilizopo Kisiwandui ZANZIBAR.
Katibu wa NEC idara ya Oganaizesheni CCM Zanzibar Cassian Galos Nyimbo Akimkabidhi Mkoba wenye Fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama hicho Dkt Hussein Mwinyi leo Juni 17,2020.
Dkt Hussein Mwinyi akionyesha Mkoba wenye Fomu za kugombea Urais mara baada ya kukabidhiwa na Katibu wa NEC idara ya Oganaizesheni CCM Visiwani Zanzibar
No comments:
Post a Comment