Dakika ya 22 Yondani anamchezea rafu nyota wa JKT Tanzania faulo ya sita JKT Tanzania wanapiga, Michael Aidan anajikunjua inakuwa off target
Dakika ya 20 Kaseke anachezewa rafu na Waziri, faulo inapigwa na Niyonzima inaokolewa, Said Juma a Yanga anapiga faulo nyingine haileti matunda.
Dakika ya 19 JKT Tanzania wanapiga kona ya tatu inaokolewa na mabeki
Dakika ya 17, JKT Tanzania wanaotea mara ya pili
Dakika ya 16 JKT Tanzania wanapata kona ya pili huku Yanga wakiwa wamepiga kona moja
Dakika ya 15 Niyonzima anapiga faulo inaokolewa na kipa wa JKT Tanzania
Dakika ya 11 Yanga wanafanya jaribio JKT wanatoa nje inakuwa kona haizai matunda
Dakika ya 10 Lamine Moro anamchezea rafu Matelema inapigwa na Jabir Aziz haizai matunda
Dakika ya 9 Mchezaji wa JKT Tanzania anafeli kurusha mpira
Dakika ya 8 Haruna anajaza majalo yanaishia kwa Kazimoto,Nchimbi anatengeneza nafasi inapotezwa
Dakika ya 7 Fei Toto anamchezea rafu Mwinyi Kazimoto inachezwa faulo
Dakika ya 6 JKT Tanzania wanaelekea lango la Yanga
Dakika ya 5 JKT wanafanya jaribio linakwenda hewani
Dakika ya 4 Mnata anaokoa hatari
Dakika ya 02 Yanga wanapeleka mashambulizi JKT
Kipindi cha Kwanza kimeanza
Timu zimeshawasili uwanjani
JKT Tanzania v Yanga
Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
Juni 17,2020
No comments:
Post a Comment