A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, July 20, 2019

Manchester United yaiadhibu Inter Milan, Kinda wa United azidi kung'ara

Kinda wa klabu ya Manchester United Mason Greenwood, ameweza kuifungia klabu yake hiyo bao pekee dhidi ya Inter Milan na kuifanya kutoka na ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wao wa ufunguzi wa International Champions Cup.

Greenwood, 17, alitokea benchi na kuifungia United bao ikiwa zimesalia dakika 14 mpira kwisha, pia kinda huyo aliifungia timu hiyo kwanye ushindi dhidi Leeds.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages