Beki
wa Stone Town, Method Mello (kulia), akiokoa moja ya shambulizi wakati wakichuana
na Tumaini FC, katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup
inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya
Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo
huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda
mlango wa Stone Town, Omari Fadhili akijaribu kukamata mpira dhidi ya mchezo
wao na Tumaini FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup
inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya
Jiji la Dar es Salaam ambapo Timu ya
Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji
wa Tumaini FC Njogoro Njogoro, akijaribu
kufanya moja ya shambulizi wakati
wakichuana na Ston Towne FC, katika mchezo wa Ligi ya Prophet
Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0
Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji
wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet
Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi
wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment