Mlinda mlango wa Kitunda
FC Shabani Gasa, akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Fair Play
FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea
katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la
DaresSalaam ambapo timu ya Fair Play
iliikuba kidedea kwa kuichabanga Kitunda mabao 2-1.Mchezo huo umepigwa leo
viwanjani hapo.
Beki wa Kitund FC Odhiambo Bernard, (mwenyejezi nyekundu) akimkabili Mshambuliaji
machachali wa Fair Play, Saidi Issa, katika Ligi ya Prophet Suguye
Cup inayoendelea katika Viwanjabvya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya
Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Fair Play iliikuba kidedea kwa
kuichabanga Kitunda mabao 2-1.Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji
wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet
Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje
kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Miyosha iliibuka na ushindi wa 2-1.
Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Fair Play, Paschal Anthony, akijaribu
kutaka kufunga kwa tiktaka wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet
Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Fair Play iliikuka kidedea kwa kuichabanga Kitunda mabao 2-1. Mchezo
huo umepigwa leo viwanjani hapo.
No comments:
Post a Comment