Mshambuliaji
wa Kivule Forest FC Kissa kisa,
akijaribu kumtoka Beki wa Azam Poly Sacks katika mchezo wa Ligi ya
Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu
Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo
umepigwa saa nane mchana leo viwanjani
hapo.
Wachezaji
wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet
Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo
umepigwa saa nane mchana leo viwanjani
hapo.
Mlinda
mlango wa Azam Poly Sacks akijaribu kuufuata mpira dhidi ya mchezo wao na Kivule
Forest wakati wa mchezo wa Ligi ya
Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu
Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kivule Forest imeibuka na ushindi wa 7-1 Mchezo huo
umepigwa saa nane mchana leo viwanjani
hapo.
No comments:
Post a Comment