Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe akifafanua jambo katika hafla ya kusaini
makubaliano ya ujenzi wa Barabara ya Morocco- Mwenge KM 4.3 kati ya
Tanroads na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) jijini Dar
es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Barabara Nchini (Tanroads), Eng. Patrick Mfugale (kushoto) akitoa
maelezo mafupi katika hafla ya kusaini makubaliano ya ujenzi wa Barabara
ya Morocco-Mwenge KM 4.3 kati ya Tanroads na Shirika la Maendeleo la
Kimataifa la Japan (JICA) jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Barabara Nchini (Tanroads), Eng. Patrick Mfugale (kushoto) na Mwakilishi
wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bw. Hayakazu
Yoshida (kulia) wakisaini makubaliano ya ujenzi wa Barabara ya
Morocco-Mwenge KM 4.3 jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Barabara Nchini (Tanroads), Eng. Patrick Mfugale (kushoto) na Mwakilishi
wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bw. Hayakazu
Yoshida (kulia) wakibadilishana hati za mkataba mara baada ya kusaini
makubaliano ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge KM 4.3 jijini Dar es
Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe (wa pili kulia) pamoja na viongozi
wengine meza kuu wakifuatilia matukio anuai katika hafla ya kusaini
makubaliano ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge KM 4.3 kati ya
Tanroads na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) jijini Dar
es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu sekta ya Ujenzi Arch. Elius
Mwakalinga.
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na wawakilishi wa Shirika la
Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) katika hafla ya kusaini
makubaliano ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge KM 4.3.
No comments:
Post a Comment