A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 19, 2019

Mechi za leo Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL)



Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL)  kuendelea leo mechi nane zitachezwa ikiwa ni mzunguko wa 28 kwenye viwanja vinne tofauti kama ifuatavyo:-

Mwadui FC dhidi ya Biashara United, uwanja wa Mwadui Complex saa 8:00 mchana.

African Lyon dhidi ya Simba, uwanja wa Amri Abeid saa 10:00 jioni.

Coastal Union dhidi ya Azam FC, uwanja wa Mkwakwani saa 10:00 jioni.

Ruvu Shooting dhidi ya Kagera Sugar, uwanja wa Mabatini saa 10:00 jioni.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages