A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 19, 2019

BREAKING: Malkia wa Meno ya Tembo atiwa hatiani na Mahakama


Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo, na wenzake Wawili baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi kumi na moja upande wa mashtaka Katika mashitaka ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bilioni 13, kinyume cha sheria.

Mbali na Feng washtakiwa wengine walitiwa hatiani ni, wafanyabiashara raia wa Tanzania, Salvius Matembo na Philemon Manase, ambao wote walikuwa wakitetewa na mawakili Nehemia Nkoko na Hassan Kiangio. Kwa habari zaidi endelea kufuatilia Kilole mzee blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages