A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, August 21, 2018

CCM yaguswa na msiba wa Dada wa Rais Magufuli


CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha dada wa Rais John Magufuli,  Monica Joseph Magufuli, aliyefariki dunia jana asubuhi tarehe 19 Agosti, 2018 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa matibabu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages