A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, August 18, 2018

JPM Asafiri na Boeing 787-8 Dream Liner Kwenda Mwanza


Rais Magufuli akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine leo

Rais Magufuli akiwa amemshika mtoto Ikrama Mahadi (Miezi-3) alipokuwa akiwasalimia abiria ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akielekea Jijini Mwanza ikiwa ni mara ya kwanza kwa Rais kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiria wengine.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli leo amesafiri na ndege ya Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL) alipokuwa akielekea Jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages