Mshambuliaji wa Hispania, Diego Costa akijaribu kuurukia mpira dhidi ya mabeki wa Ujrumani kwenye boksi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa ESPRIT arena mjini Dusseldorf, Ujerumani. Timu hizo zilifungana 1-1, Rodrigo akianza kuifungia Hispania dakika ya sita kabla ya Thomas Muller kuisawazishia Ujerumani dakika ya 35.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Saturday, March 24, 2018
Ujerumani na Hispania 1-1
Tags
MICHEZO#
Share This
About kilole mzee
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment