A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, March 24, 2018

Kamusoko, Tambwe na Niyonzima wafanya mazoezi pamoja

Wachezaji wa Yanga, Thaban Kamusoko na Amis Tambwe pamoja na Haruna Niyonzima wa Simba, wamekutana katika 'Gym' kufanya mazoezi pamoja.

Wachezaji hao wote hawajawa na msimu mzuri katika Ligi Kuu Bara kufuatia kuwa majeruhi, kitu ambacho kilipelekea wakosekano kwa muda mrefu viwanjani kuzitumikia timu zao.

Kitendo cha wachezaji kufanya mazoezi pamoja kimeonesha dhahiri shahiri mpira si uadui, tofauti na wengi wasiokuwa na uelewa ndani ya timu hizi mbili Kongwe za Simba na Yanga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages