A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, March 24, 2018

Colombia yainyuka Ufaransa 3-2

Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann (kushoto) akigombea mpira na beki wa Colombia, Frank Fabra katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Colombia ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Luis Muriel dakika ya 28, Radamel Falcao dakika ya 62 na Juan Quintero dakika ya 85 kwa penalti, ya Ufaransa iliyomuanzishia benchi kiungo wake Paul Pogba, yakifungwa na Olivier Giroud na Thomas Lemar .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages