SHIRIKA la ndege la Precision Air (PW) jana lilizindua safari zake za Serengeti mkoani Mara, kupitia Uwanja wa Ndege wa Arusha.
Uwepo
wa safari hizo za ndege utasaidia usafirishaji wa watalii kutoka nchi
mbalimbali duniani na ndani ya Tanzania kutembelea hifadhi ya Serengeti
kirahisi jambo ambalo litachangia ukuaji wa uchumi nchini.
Pichani
juu ni Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir na abiria wakishuka katika
Ndege kwenye Uwanja wa Seronera jana walipozindua safari za Viwanja
vya Dar es Salaam-Arusha - Serengeti.
Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakishuka katika Ndege kwenye Uwanja wa Seronera jana.
Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakivinjari katika Uwanja wa Seronera jana.
Wafanyakazi wa Ndege ya Precision Air wakiwa katika Uwanja wa Seronera.
Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakiwa katika picha ya pamoja katika uwanja wa Seronera.
Wafanyakazi wa Ndege ya PrecisionAir wakiwa katika picha ya pamoja katika uwanja wa Seronera.
Ndege ya PrecisionAir ikiwa katika Ofisi za Uwanja wa ndege wa Seronera.
No comments:
Post a Comment