Mkuu
wa kitengo cha maduka ya rejareja ya Vodacom Tanzania PLC, Brigita
Stephen akikata utepe kuashiria uzinduzi wa dawati la huduma kwa wateja
wa kampuni hiyo”Service desk”lililopo
soko la makumbusho jijini Dar es Salaam katika kusherehekea wiki ya
huduma kwa wateja inayoanza kufanyika leo dunia nzima,Wanaoshuhudia
kutoka kushoto Meneja wa kampuni hiyo,Fredrick Laini,Mteja na mkazi wa
Makumbusho,Alex Kisanga.
Alex Kisanga(kulia)Ambaye ni Mteja wa kwanza kufika katika dawati la huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania PLC,”Service desk”lililopo
soko la makumbusho jijini Dar es Salaam,Akionyeshwa baadhi ya bidhaa
zilizopo katika dawati hilo baada ya kuzinduliwa rasmi na Mkuu wa
kitengo cha maduka ya rejareja ya kampuni hiyo, Brigita
Stephen(katikati)na Meneja wa kampuni hiyo,Fredrick Laini,katika
kuazimisha wiki ya huduma kwa wateja inayoanza leo na kufanyika dunia
nzima.
Mteja
wa Vodacom Tanzania PLC,Dkt. Mdimu Ngoma akishirikiana na Mkuu wa
kitengo cha maduka ya rejareja wa kampuni hiyo, Brigita Stephen,kukata
keki ikiwa ni ishara ya kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoanza
leo na kufanyika dunia nzima.
Mkuu
wa kitengo cha maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania PLC,Brigita
Stephan(katikati)akimlisha keki mteja wa kampuni hiyo Dkt. Mdimu Ngoma
ikiwa ni ishara ya kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja duniani
inayoanza leo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC,Wakiwa kwenye picha ya pamoja
wakati wakusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoanza leo na
kufanyika dunia nzima.
Meneja
wa duka la Vodacom Tanzania,tawi la Mlimani city jijini Dar es
salaam,Vanessa Mlawi akipiga selfie na wafanyakazi wenzake na wateja wa
kampuni hiyo katika kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoanza leo
na kufanyika dunia nzima.
No comments:
Post a Comment