Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na katika ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa ngazi ya Mkoa na Wilaya katika ukumbi wa Arnautoglou jijini Dar es Salaam.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu (RITA) Emmy Hudson akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa viongozi wa gazi ya Mkoa na Wilaya kuhusu usajili wa matukio muhimu ya Binadamu na kutambulisha majaribio ya mfumo wa Tehama katika ukumbi wa Arnautoglou, jijini Dar es Dalaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa ngazi ya Mkoa na Wilaya leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment