Katibu wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Iringa James mgego akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya uchaguzi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana kwa Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipowasili kusaini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoa .
Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akipitia kwa umakini Taarifa ya uchaguzi ya Uvccm Mkoa wa Iringa alipowasili kusaini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoa wakati akielekea katika chuo cha mafunzo Ihemi .
Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na viongozi na wanachama wa chama cha mapinduzi alipowasili katika chuo cha Mafunzo IHEMI Iringa.
Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka (pili kulia) akisalimiana na watumishi walio katika maandalizi ya mwisho ya kukamilisha utekelezaji wa kukifufua chuo cha mafunzo ihemi Iringa.
Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akitazama baadhi ya
nyaraka na vitabu mbali mbali vilivyokua vikitumika wakati wa mafunzo
Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka (wa tatu)akielekea kukagua baadhi ya majengo ya Chuo cha mafunzo Ihemi
Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akipata maelekezo katika mchoro wa ramani wa kubadilisha majengo na muonekano wa chuo cha mafunzo Ihemi Iringa.
Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe:Amina Masenza (kushoto) akizungumza jambo alipokutana na Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka katika mazungumzo juu ya hatua za kukifufua chuo cha mafunzo Ihemi.
No comments:
Post a Comment