A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, August 12, 2017

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu afungua kongamano la Women Advancing Africa(WAA)

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA)lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika jana, Kongamano linaloendelea jijini Dar Es Salaam na kumalizika siku ya jumamosi. 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu na Mama Graca Machel wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la WAA.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages