Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Profesa John L. Thorton Ikulu jijini Dar es salaam. Katika mkutano huo, uliohudhuriwa pia na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Paramagamba Kabudi na Balozi wa Canada hapa nchini, Ian Myles umemalizika kwa mafanikio makubwa ambapo pande zote zimekubaliana kukaa meza moja kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali katika sekta ya madini. Habari kamili yaja punde
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John
L. Thornton mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam jana
Juni 14, 2017. Kulia ni balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa
John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam jana
Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa
Palamagamba kabudi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe Ian Myles na Waziri wa Sheria na
Katiba Profesa palamagamba kabudi akipeana mikono na Mwenyekiti wa
Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam jana Juni 14, 2017. Kushoto ni
Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
Mwenyekiti
wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton
akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo na rais Dkt Magufuli Ikulu
jijini Dar es salaam jana Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na
Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kiongea na
wanahabari baada ya mazungumzo yake na Mwenyekiti wa Barrick Gold
CorpoRais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiration ya Canada (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam jana Juni 14,
2017. Kulia ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na Waziri wa
Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana
mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe Ian wakiwa na Mwenyekiti wa
Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam jana Juni 14, 2017. Kushoto ni
Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiwa na Waziri wa
Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi baada ya mazungumzo na
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L.
Thornton Ikulu jijini Dar es salaam jana. Juni 14, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L.
Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam jana Juni 14,
2017. wakiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles
Balozi
wa Canada nchini Mhe. Ian Myles akiongea na wanahabari baada ya
mazungumzo baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada
Profesa John L. Thornton Ikulu jijini Dar es salaam jana Juni 14, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L.
Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14,
2017. Pamoja nao ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na Waziri
wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
No comments:
Post a Comment