Meneja wa shule ya Sekondari ya Wavulana ya Sullivan Provost , Richard Samwel Mkami (wanne kulia), akikabidhi baadhi ya mahitaji kwa Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu Nicolaus Manguo, wakati wa Hafla iliyofanyika tarehe 22/06/2022 ikiwa ni hitimisho la kampeni ya NIKUMBUKE inayolenga kuwasaidia wanafunzi wanaokosa mahitaji muhimu katika kutimiza ndoto zao kielimu. Shule ya Sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost pamoja na SHULELIFE ORGANIZATION waliunganisha nguvu kupitia NIKUMBUKE na kufanikiwa kutoa msaada kwa wanafunzi 70 wa Sekondari ya nyumbu waishio katika mazingira magumu. NIKUMBUKE ni mpango endelevu ambao una lengo la Kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya Elimu ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata Elimu bora pia NIKUMBUKE ni siku maalumu kila tarehe 22 ya mwezi wa 6 ni siku ya kumuenzi aliyekuwa Meneja wa Shule ya Sekondari ya Wavulana, Sullivan Provost, Mhandisi Eric Samwel Mkami ambaye sasa ni marehemu.kulia ni Mkurugenzi wa Shule ya sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost Rachel Mwalukasa (Grandma)
Mwenyekiti wa SHULE LIFE ORGANIZATION Alvin Maro, (wapili kulia), akikabidhi baadhi ya mahitaji kwa Mwanafunzi wa kidato cha pili wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu Amos Charles.wakati wa Hafla iliyofanyika tarehe 22/06/2022 ikiwa ni hitimisho la kampeni ya NIKUMBUKE inayolenga kuwasaidia wanafunzi wanaokosa mahitaji muhimu katika kutimiza ndoto zao kielimu. Shule ya Sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost pamoja na SHULE LIFE ORGANIZATION waliunganisha nguvu kupitia NIKUMBUKE na kufanikiwa kutoa msaada kwa wanafunzi 70 wa Sekondari ya nyumbu waishio katika mazingira magumu. NIKUMBUKE ni mpango endelevu ambao una lengo la Kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya Elimu ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata Elimu bora pia NIKUMBUKE ni siku maalumu kila tarehe 22 ya mwezi wa 6 ni siku ya kumuenzi aliyekuwa Meneja wa Shule ya Sekondari ya Wavulana, Sullivan Provost, Mhandisi Eric Samwel Mkami ambaye sasa ni marehemu. Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Nyumbu na kulia ni Mkurugenzi wa Shule ya sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost Rachel Mwalukasa (Grandma) pamoja na Mwanafunzi Debora Stanley.
Mhamasishaji kutoka Global tv pamoja na Global radio Rodrick Nabe, akitoa Elimu kuhusu vijana kujiamini kwa wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Nyumbu, wakati wa hitimisho la kampeni ya NIKUMBUKE inayolenga kuwasaidia wanafunzi wanaokosa mahitaji muhimu katika kutimiza ndoto zao kielimu Shule ya sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost pamoja na SHULE LIFE ORGANIZATION waliunganisha nguvu kupitia NIKUMBUKE na kufanikiwa kutoa msaada kwa wanafunzi 70 wa Sekondari ya Nyumbu waishio katika mazingira magumu. NIKUMBUKE mpango endekevu ambao una lengo la kumuunga mkono Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya Elimu ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata Elimu bora. pia NIKUMBUKE kila ifikapo tarehe 22 mwezi wa 6 kila mwaka ni siku ya kumuenzi eliekuwa Meneja wa Shule ya sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost, Mhandisi Eric Samweli Mkami ambaye sasa ni marehem
Mhamasishaji ambae pia ni Mwanafunzi wa chuo Cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere Regina John anaechukua degree ya gender and development akitoa Elimu juu ya unyanyasaji wa kijinsia kwa wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Nyumbu, wakati wa hitimisho la kampeni ya NIKUMBUKE inayolenga kuwasaidia wanafunzi wanaokosa mahitaji muhimu katika kutimiza ndoto zao kielimu Shule ya sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost pamoja na SHULE LIFE ORGANIZATION waliunganisha nguvu kupitia NIKUMBUKE na kufanikiwa kutoa msaada kwa wanafunzi 70 wa Sekondari ya Nyumbu waishio katika mazingira magumu. NIKUMBUKE mpango endekevu ambao una lengo la kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Elimu ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata Elimu bora. pia NIKUMBUKE kila ifikapo tarehe 22 mwezi wa 6 kila mwaka ni siku ya kumuenzi eliekuwa Meneja wa Shule ya sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost, Mhandisi Eric Samweli Mkami ambaye sasa ni marehem
Makamu Mwenyekiti wa SHULE LIFE ORGANIZATION Stella Jostanoel (wapili kulia), akikabidhi baadhi ya taulo za kike kwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu Debora Stanley wakati wa Hafla iliyofanyika tarehe 22/06/2022 ikiwa ni hitimisho la kampeni ya NIKUMBUKE inayolenga kuwasaidia wanafunzi wanaokosa mahitaji muhimu wa shule za sekondari katika kutimiza ndoto zao kielimu. Shule ya Sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost pamoja na SHULELIFE ORGANIZATION waliunganisha nguvu kupitia kampeni ya NIKUMBUKE na kufanikiwa kutoa msaada kwa wanafunzi 70 wa shule ya Sekondari ya nyumbu iliyopo kibaha mkoani pwani waishio katika mazingira magumu. NIKUMBUKE ni mpango endelevu ambao una lengo la Kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Elimu ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata Elimu bora pia NIKUMBUKE ni siku maalumu kila tarehe 22 ya mwezi wa 6 ni siku ya kumuenzi aliyekuwa Meneja wa Shule ya Sekondari ya Wavulana, Sullivan Provost, Mhandisi Eric Samwel Mkami ambaye sasa ni marehemu. Kushoto ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu Nicolaus Manguo, Mkurugenzi Mtendaji wa shule ya Sekondari ya Wavulana ya Sullivan Provost Rachel Mwalukasa (Grandma)
Meneja wa shule ya Sekondari ya Wavulana ya Sullivan Provost , Richard Samwel Mkami (kulia), akikabidhi baadhi ya mahitaji ya vifaa vya shule kwa Diwani wa kata ya Nyumbu Fokas Bundala, wakati wa Hafla iliyofanyika tarehe 22/06/2022 ikiwa ni hitimisho la kampeni ya NIKUMBUKE inayolenga kuwasaidia wanafunzi wanaokosa mahitaji muhimu katika kutimiza ndoto zao kielimu. Shule ya Sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost pamoja na SHULELIFE ORGANIZATION waliunganisha nguvu kupitia NIKUMBUKE na kufanikiwa kutoa msaada kwa wanafunzi 70 wa Sekondari ya nyumbu waishio katika mazingira magumu. NIKUMBUKE ni mpango endelevu ambao una lengo la Kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya Elimu ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata Elimu bora pia NIKUMBUKE ni siku maalumu kila tarehe 22 ya mwezi wa 6 ni siku ya kumuenzi aliyekuwa Meneja wa Shule ya Sekondari ya Wavulana, Sullivan Provost, Mhandisi Eric Samwel Mkami ambaye sasa ni marehemu.
Binti Jasiri Shemsuu Issayas, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Nyumbu, ambapo na yeye alisoma Shule hiyo wakati wa hitimisho la kampeni ya NIKUMBUKE inayolenga kuwasaidia wanafunzi wanaokosa mahitaji muhimu katika kutimiza ndoto zao kielimu Shule ya sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost pamoja na SHULE LIFE ORGANIZATION waliunganisha nguvu kupitia NIKUMBUKE na kufanikiwa kutoa msaada kwa wanafunzi 70 wa Sekondari ya Nyumbu waishio katika mazingira magumu. NIKUMBUKE mpango endekevu ambao una lengo la kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya Elimu ili kuhakikisha kila mtoto wa kitanzania anapata Elimu bora. pia NIKUMBUKE ni siku maalum kila ifikapo tarehe 22 mwezi wa 6 kila mwaka ni siku ya kumuenzi eliekuwa Meneja wa Shule ya sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost, Mhandisi Eric Samweli Mkami ambaye sasa ni marehemu
Picha ya pamoja
Post Top Ad
Your Ad Spot
Friday, June 24, 2022
Home
SKONGA
SHULE YA SEKONDARI YA SULLIVAN PROVOST NA SHULE LIFE ORGANIZATION YATIMIZA NDOTO ZA WANAFUNZI 70 KIBAHA
SHULE YA SEKONDARI YA SULLIVAN PROVOST NA SHULE LIFE ORGANIZATION YATIMIZA NDOTO ZA WANAFUNZI 70 KIBAHA
Tags
SKONGA#
Share This
About kilole mzee
SKONGA
Labels:
SKONGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment