A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, April 2, 2022

FIFA yaweka wazi makundi nane michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar 2022

 

RATIBA ya Michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar imetolewa na FIFA katika makundi nane na kila kundi lina timu nne huku timu za Afrika zikipangwa na vigogo wa soka duniani.
A:Qatar,Ecudor,Senegal na Uholanzi

B:England,Iran,Marekani na Euro play -Off

C:Argentina,Saudi Arabia,Mexico na Poland

D:France,Denmark,Tunisia na IC Play-Off

E:Espania,Ujeruman,Japan na IC Play-Off

F:Ubelgiji,Morocco,Croatia na Canada

G:Brazil,Serbia,Switzerland na Cameroon

H:Ureno,Ghana,Uruguary na Korea Kusini

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages