LEO
Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi
2.21 huku dola ya Marekani nchini ikinunuliwa kwa Shilingi 2287.001 na
kuuzwa kwa Shilingi 2309.9.
YUAN
ya China inanunuliwa kwa shilingi 359.34 huku ikiuzwa kwa shilingi
362.842 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.42 na kuuzwa kwa
shilingi 19.58.
Randi
ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 151.64 na kuuzwa kwa shilingi
153.12 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.04 na kuuzwa
kwa shilingi 20.20.
Hayo
ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za
kigeni iliyotolewa leo Machi 15, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).Aidha,kwa
mujibu wa BoT, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 2982.72
huku ikiuzwa kwa Shilingi 3013.47 na Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa
shilingi 2504.50 na kuuzwa kwa shilingi 2530.47.
Wakati
huo huo, Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa
shilingi 2.28 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.61 na
kuuzwa kwa shilingi 0.64.
No comments:
Post a Comment