A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, March 11, 2022

Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Machi 11, 2022

 

LEO Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 362.06 huku ikiuzwa kwa shilingi 365.21 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.73 na kuuzwa kwa shilingi 19.92.

Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 151.6 na kuuzwa kwa shilingi 153.02 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.1 na kuuzwa kwa shilingi 20.21.

Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku dola ya Marekani nchini ikinunuliwa kwa Shilingi 2287.01 na kuuzwa kwa Shilingi 2309.9.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Machi 11, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Aidha,kwa mujibu wa BoT, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3012.221 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3043.27 na Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2536.523 na kuuzwa kwa shilingi 2562.81.
Wakati huo huo, Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages