Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof. Elifas Tozo Bisanda (wa tatu kushoto) aliyekuwa mgeni rasmi
akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sondari ya
wavulana ya Sullivan Provost, Rahim Ally (kulia), wakati wa mahafali ya saba ya
shule hiyo, hafla ya mahafali hayo yamefanyika shuleni hapo Kibaha
kwa Mathias, mkoani Pwani hivi karibuni. Wengine (wapili kushoto) ni Mkurugenzi
Mtendaji wa Shule hiyo, Rachel Mwalukasa na Afisa Mradi wa Teachers Juction, Njama Salim.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof.
Elifas Tozo Bisanda (wapilikushoto), akimkabidhi
mwanafunzi wa Kidato cha kwanza wa Shule ya sekondari ya wavulana Sullivan Provost Francis Kiango, cheti cha pongezi kwa
kuongoza katika masomo yote wakati wa hafla ya mahafali ya saba ya shule hiyo, hafla ya mahafali hayo
yamefanyika shuleni hapo Kibaha kwa Mathias, mkoani Pwani hivi
karibuni. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shule hiyo, Rachel
Mwalukasa, wengine ni wageni waalikwa pamoja na Baba Mlezi wa kiroho wa shule
hiyo Mshungaji Tusimsahau Manoza pamoja na Mama Manoza.
Mkurugenzi Mtendaji
wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost, Rachel Mwalukasa (katikati), akizungumza wakati wa sherehe za mahafali
ya saba ya kidato cha nne ya shule hiyo iliyopo
Kibaha kwa Mathias Pwani, hivi karibuni kushoto ni Afisa Mradi wa Teachers
Juction, Njama Salim, pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof.
Elifas Tozo Bisanda ambae ndio alikuwa Mgeni rasmi katika hafla
hiyo.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof. Elifas Tozo Bisanda (wa tatu kushoto) aliyekuwa mgeni rasmi akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost, Wenseslaus Fredy (kulia), wakati wa mahafali ya saba ya shule hiyo, hafla ya mahafali hayo yamefanyika shuleni hapo Kibaha kwa Mathias, mkoani Pwani hivi karibuni. Wengine wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shule hiyo, Rachel Mwalukasa na Afisa Mradi wa Teachers Juction, Njama Salim, Baba Mlezi wa kiroho wa shule hiyo Mchungaji Tusimsahau Manoza, pamoja na Mama Manoza na wageni wengine waalikwa kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost, Rachel Mwalukasa akikabidhi zawadi ya kitabu kwa mmoja ya wahitimu wa kidato cha nne wakati wa hafla ya mahafali ya saba ya shule hiyo iliyopo kibaha kwa mathias mkoni pwani. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof. Elifas Tozo Bisanda akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost, Rachel Mwalukasa wakati wa hafla ya mahafali ya saba ya shule ya Sekondari ya wavulana ya Sullivan Provost iliyopo kibaha kwa mathias mkoni pwani. Wahitimu wakiselebuka kwa madoido wakati wakiingia ukumbini
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya wavulana Sullivan Provost Jacqueline Pancras (katikati), akiwa na waalimu wa shule hiyo wakiwa katika nyuso za Furaha wakati wa hafla ya mahalafali saba ya kidato channe ya Shule ya SULLIVAN PROVOST. Picha zote na Mwl. Godson Ananias Kahis
Wazazi na wageni waalikwa
Wahitimu.
MATUKIO KATIKA PICHA
No comments:
Post a Comment