A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, September 17, 2021

NAMUNGO FC YATEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO

 




Klabu ya mpira wa miguu ya NamungoFC imefanya utalii wa ndani ikiwa ni moja ya kusapoti kampeni ya kutangaza vivutio  vya utalii wa ndani pamoja na kutoa fursa kwa wachezaji wa klabu kupumzika katika kipindi hiki cha maandalizi ya ligi. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages