Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akimnadi mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Muhambwe, Dkt Florence Samizi kwenye uwanja wa Taifa Kibondo mjini Mei 4, 2021.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua kampeni za CCM katika Jimbo la Muhambwe kwenye Uwanja wa Taifa Mjini Kibondo, Mei 4, 2021.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza na mgombea Ubunge wa Jimbo la Muhambwe, Dkt. Florence Samizi katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za CCM katika jimbo hilo, Mei 4, 2021.
Wananchi wa Kibondo wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Taifa Kibondo Mjini kuzindua kampeni za CCM za uchaguzi mdogo kwenye jimbo la Muhambwe.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiingia kwenye uwanja wa Taifa Kibondo Mjini kuzindua kampeni za uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Mei 4, 2021. Wa pili kulia ni Naibu Katibu kuu wa CCM, Bara, Christina Mndeme.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Tuesday, May 4, 2021
MAJALIWA AZINDUA KAMPENI ZA CCM UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MUHAMBWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment