A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, April 28, 2021

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AZUNGUMZA NA KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS IKULU CHAMWINO.

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana kwa Ishara maalum na  Bibi Mary Ngelela Maganga Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, wakati Katibu Mkuu Maganga alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo April 27,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Bibi Mary Ngelela Maganga Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, wakati Katibu Mkuu Maganga alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo April 27,2021

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages