A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, August 17, 2020

VODACOM YAZINDUA DUKA KUBWA LA KISASA MJINI LINDI

 

Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga (katikati) akikata utepe kuzindua duka la kisasa la Vodacom mjini Lindi mwishoni mwa wiki ili kuwafikishia wananchi huduma karibu yao. Kushoto ni Mkuu wa Mauzo wa Vodacom kanda ya Pwani na Dar Es Salaam, Brigita Stephen na Meneja wa Vodacom Lindi, Omary Kilumanga.

Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga amepongeza kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kwa kuwasogezea huduma mkoani humo na hivyo kuwaondolea adha ya kwenda Mtwara kufuata huduma.

Alisema kwa muda mrefu wakazi wa Lindi walipokuwa wakihitaji huduma za Vodacom walikuwa walilazimika kwenda Mtwara kupata huduma.

Mkuu huyo wa wilaya alisema hayo wakati wa uzinduzi wa duka kubwa la kisasa la kampuni hiyo ya simu mkoani Lindi, lililopo mtaa wa soko kuu mjini Lindi.


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages