A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, July 30, 2020

Wananchi wa kusini tuchape kazi na tupendane, Kero ya Barabara Kusini-DSM hii nimeibeba -JPM

“Kazi aliyoifanya Mkapa ameifanya kwa nguvu zote, nawaomba wananchi wa kusini tumuenzi Mkapa kwa kuchapa kazi, tuna eneo zuri mno, ufuta unakubali, mahindi, korosho vyote vinakubali, na mifugo inakubali, tuchape kazi na tupendane, Kero ya Barabara (Kusini-DSM) hii nimeibeba” -JPM

“Tumeshalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 800 kwa ajili ya korosho, tumemaliza na hii Tsh. Bilioni 20 (iliyotolewa juzi), tuendelee kushikamana na Serikali yetu na tuendelee kuchapa kazi, Mtwara na Lindi ya sasa sio kama ya kipindi cha nyuma, zinapendeza, zinafurahisha” - JPM

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages