Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza
na wakazi wa jimbo la Ubungo maeneo ya sinza kijiweni kunakojengwa
barabara ya njia nne wakati wa
muendelezo wa ziara yake ya kukabidhi miradi Mbalimbali
iliyotekelezwa na serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli
kwa Chama cha Mapinduzi CCM na kuwataka wanaichi wa jimbo hilo kuto
kurudia makosa yakuchakuga viongozi wasio jail maslahi ya wananchi
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori akizungumza wakati wa ziara hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Diwani wa Kata ya Vingunguti pia ni Meya wa Ilala Omari Kumbilamoto, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori, pamoja na viongozi wengine wachama wakiwa katika ziara ya ikiwa ni muendelezo wa ziara hiyo jimbo la Ubungo.
wakazi wa Sinza wakila kiapo cha kuapa kumpa kura Rais Magufuli wakati wa uchaguzi mkuu 2020
MATUKIO KATIKA PICHA
Baadhi ya wanachama wa CCM na vijana wa hamasa wakifanya yao
No comments:
Post a Comment