Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na wakazi wa jimbo la Kibamba wakakati akikabidhi mradi wa standi mpya ya kisasa ya mabasi inayojengwa mbezi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kukabidhi miradi Mbalimbali iliyotekelezwa na serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli kwa Chama cha Mapinduzi CCM na kuwahimiza Wananchi kuchagua Viongozi wanaoweza kutatua kero zao.
Mkuu wa
Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na wakazi wa jimbo la
Kibamba wakakati akikabidhi mradi wa standi mpya ya kisasa ya mabasi inayojengwa mbezi ikiwa ni muendelezo wa ziara
yake ya kukabidhi miradi Mbalimbali iliyotekelezwa na serikali ya Awamu ya Tano
chini ya Rais Dkt. John Magufuli kwa Chama cha Mapinduzi CCM na kuwahimiza
Wananchi kuchagua Viongozi wanaoweza kutatua kero zao.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori akizungumza wakati wa
ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda
ya kukabidhi miradi Mbalimbali iliyotekelezwa na
serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli kwa Chama cha
Mapinduzi CCM na kuwahimiza Wananchi kuchagua Viongozi wanaoweza kutatua kero
zao.
Mkurugenzi wa Manspaa ya Ubungo Beatrice Dominic akizungumza wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda
ya kukabidhi miradi Mbalimbali iliyotekelezwa na
serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli kwa Chama cha
Mapinduzi CCM na kuwahimiza Wananchi kuchagua Viongozi wanaoweza kutatua kero
zao.
Mwenyekiti wa chama Wilaya ya Ubungo Ndg.Lucas Mgonja akizungumza
wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda
ya kukabidhi miradi Mbalimbali iliyotekelezwa na
serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli kwa Chama cha
Mapinduzi CCM na kuwahimiza Wananchi kuchagua Viongozi wanaoweza kutatua kero
zao.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia mwenye tisheti ya njano katikati akipiga kwata pamoja na vijana wa hamasa wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipotembelea na kukabidhi kituo cha afya kilichopo Kimara mwisho
Mkuu wa Mkoa akipiga kwata na vijana wa hamasa Picha zote na Brian Peter
Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Mhe. Paul Makonda amegoma kukabidhi kwa Chama cha Mapinduzi CCM Mradi wa
Ujenzi wa Jengo la Manispaa ya Ubungo kutokana na ujenzi huo kusuasua hadi sasa
ambapo amemtaka Mkandarasi wa ujenzi huo Wakala wa Ujenzi TBA kuhakikisha
anakabidhi mradi ndani ya mwezi mmoja kuanzia Leo.
RC Makonda amechukizwa
kuona ujenzi huo ulitakiwa kukamilika na kukabidhiwa Mwezi Disemba mwaka jana
lakini mkandarasi aliomba kuongezewa miezi sita lakini hadi sasa Ujenzi haujakamilika
jambo lonaloendelea kuwafanya Watumishi wa Manispaa hiyo kufanya kazi katika
mazingira magumu.
Hayo yamejiri wakati
wa Mwendelezo wa Ziara ya RC Makonda kukabidhi miradi kwa Chama Cha Mapinduzi
CCM ambapo kwa siku ya leo amekabidhi miradi yenye thamani ya zaidi ya Shilingi
Bilioni 196.4 kwa upande wa Jimbo la Kibamba.
Miongoni mwa miradi
aliyokabidhi RC Makonda ni Stand ya Mabasi ya Mikoani ya Mbezi Luis
inayogharimu Bilioni 50, Upanuzi wa Barabara ya Kimara hadi Kibaha yenye urefu
wa Km 19.2 na gharama ya Bilioni 140.4, Upanuzi wa Mtambo wa Maji Ruvu Juu na
ujenzi wa Tank Kibamba wa thamani ya Milioni 624.
Aidha RC Makonda pia
amekabidhi mradi wa Ujenzi wa Mabanda Saba ya Wafanyabiashara Mbezi Luis
unaogharimu Bilioni 1.5 na Ujenzi wa Kituo cha Afya Kimara Bilioni 1.5.
Ziara ya RC Makonda
itaendelea siku ya kesho kwenye Jimbo la Ubungo ambapo atakabidhi miradi
mbalimbali ya Maendeleo.
No comments:
Post a Comment