A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, July 15, 2020

MMILIKI WA RADIO 7 ANTU MANDOZA AJITOSA KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM MKOANI KAGERA.

 MMILIKI wa Radio7 Antu Mandoza amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Uwakilishi ya Ubunge Viti Maalum kupitia Vijana mkoani Kagera.Uamuzi huo wa kuchukua fomu unakuwa ni wa mara ya pili kwani alijitosa kwa mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.Mandoza ambaye pia anajihusisha na ujasiriamali amekuwa mdau mkubwa wa maendeleo katika jamii

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages