A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, June 15, 2020

Yanga yafikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa David Ruhago

Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kusitisha ajira ya David Ruhago aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu hiyo.

Taarifa rasmi iliyotolewa na uongozi wa Yanga imeeleza kuwa wamekubaliana kusitisha nafasi yake ya kazi kuanzia leo Juni 15.

Kamati ya Utendaji ya Yanga iliyo chini ya Mwenyekiti wa Klabu hiyo Dr, Mshindo Msolla imemshukuru kiongozi huyo kwa ushirikiano wake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages