A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, May 19, 2020

KATIBU MKUU TFF AHOJIWA NA TAKUKURU


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mira wa miguu nchini  TFF Wilfredy Kidau amehojiwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa.

Katibu mkuu huyo aliingia katika chumba cha mahojiano saa tatu na dakika 42 na kutoka saa tano na dakika 14.

 Baada ya kutoka ndani  Kidao hakutaka kuongea chochote na waandishi wa habari.


Hivi karibuni Mkurugenzi wa TAKUKURU Brig. John Mbungo aliweka wazi kuwa wanaendelea kuwahoji watu mbalimbali kuhusu matumizi ya fedha zilizotolewa na serikali.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages